DICOTA Webinar ya Fursa za Udhamini wa Elimu (SCHOLARSHIPS) kwa WAAFRIKA
MADA 08.15.2020: Udhamini wa Elimu ya juu (Scholarship) Ughaibuni: Marekani, Canada na Ulaya
Kujiunga (Join Our FREE Zoom Webinar Here): https://bit.ly/3fIqwbY
Saa 12-2 jioni Afrika Mashariki
11am-1pm EST/ 10am-12pm CST/ 8-10am PST/ 4-6pm UK time/ 5-7pm Sweden
Watoa mada:
Mr. Ernest B. Makulilo – Missouri, USA
Mwl. Catherine Hiza – Brighton, UK
Mratibu:
Dr. Suzy Nkurlu, PhD – Chuo Kikuu cha Iowa, Marekani
#DICOTAElimu Forum Live
Follow us on Facebook